Kwa matokeo haya ya uchaguzi huu wa madiwani ni ishara tosha kwamba wananchi wameamua kuzungumzia kwenye masanduku ya kura, na ni ishara tosha kwamba bado wananchi wana imani na chama kilichopo madarakani, na hata kama mapungufu yapo ni ya kurkebishika ni hayo tu!nakaribisha kupingwa!!!!!
Eti wanajitetea wameshinda
kwa Kura ngapi na wao wanagapi ha!ha!kushindwa ni kushindwa kwani wakati
mnapeperusha Chopa mlikuwa mnajua mtashinda kumbe watu walikuwa
wanaenda kutazama Chopa tu ha!ha!