Hii ni fact kabisa,na nia aibu kubwa sana."Ni aibu na dhihaka kwa Taifa kwa watu kujazana kwenda kupata matibabu kwenye meli ya wachina, hii inaonyesha ni namna gani tulivyo nyuma kwenye Sekta ya Afya...Viongozi wetu kama wanashabikia hili basi Taifa lipo kwenye msiba mkubwa wa uongozi,Taifa linalia". Ameandika Kilewo kwenye ukurasa wake wa Twitter
chama cha siasa au kitakuwa chama cha bima ya afya ifikapo 2020,maana mwenyekiti mbowe anaweza kuwa anatafuta wateja kabisa.View attachment 634912
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa kitabadilisha fikra za wananchi pamoja na mazoea ya kwenda hospitali pale wanapokuwa wanaumwa na badala yake watawajengea uwezo wa kwenda hospitali mara kwa mara ili kujua Afya zao.
Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Dar es salam na Mjumbe Baraza kuu na Mkutano Mkuu Taifa Henry Kilewo ambaye amesema pamoja na kuwajengea uwezo wananchi watatoa na bima za afya kwa wananchi.
"Chadema tutakapokuwa Tunaongoza Nchi 2020 tutabadili Fikra za Mazoea Kwa Wananchi kusubiri Kuumwa ndiyo waende Hospital,Tutawajengea Uwezo wa Kucheki Afya Zao Mara kwa Mara pamoja na kuwapatia Bima za Afya" Kilewo.
Mbali na hayo Kilewo amefafanua kwamba ni muda muafaka kwa serikali kuwekeza kwenye Sekta ya Afya mahali ambapo panadaiwa kuwa na changamoto huku akikosoa namna Tanzania ilivyo nyuma kwenye sekta ya afya.
"Ni aibu na dhihaka kwa Taifa kwa watu kujazana kwenda kupata matibabu kwenye meli ya wachina, hii inaonyesha ni namna gani tulivyo nyuma kwenye Sekta ya Afya...Viongozi wetu kama wanashabikia hili basi Taifa lipo kwenye msiba mkubwa wa uongozi,Taifa linalia". Ameandika Kilewo kwenye ukurasa wake wa Twitter
Mpekuzi
tatizo wapinzani nao wanaweza kununuliwa badala ya kutoa huduma kwa wananchi ktk maeneo wanayo yaongozaCCM imewekeza kwenye kununua wapinzani badala ya kuimarisha huduma za afya.
Hatuna uhakika wa kufika kesho,wanatuletea ngonjera za 2020! Utani mbaya sana.Waoneshe huo mfano kwanza kwenye kata na majimbo wanazoziongoza ili tujue kweli wanamaanisha
Oktatizo wapinzani nao wanaweza kununuliwa badala ya kutoa huduma kwa wananchi ktk maeneo wanayo yaongoza
Unataka mfano gani zaidi ya kulinganisha hali ya Maendeleo ya majimbo yenye wabunge wa upinzani na Yale ambae wabunge wake wanatoka chama tawala. Bila upendeleo majimbo yanayoongozwa na upinzani yako vema sana mpaka MTU unashangaa kulikoni. Hawa jamaa wameshika nchi hii kwa miaka mingi walikuwa hawaoni fursa hizi zoteWaoneshe huo mfano kwanza kwenye kata na majimbo wanazoziongoza ili tujue kweli wanamaanisha
Wafanyakazi wa makao makuu ya chama chake tu hawana Bima ya afya ijekuwa watanzania wote!?View attachment 634912
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa kitabadilisha fikra za wananchi pamoja na mazoea ya kwenda hospitali pale wanapokuwa wanaumwa na badala yake watawajengea uwezo wa kwenda hospitali mara kwa mara ili kujua Afya zao.
Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Dar es salam na Mjumbe Baraza kuu na Mkutano Mkuu Taifa Henry Kilewo ambaye amesema pamoja na kuwajengea uwezo wananchi watatoa na bima za afya kwa wananchi.
"Chadema tutakapokuwa Tunaongoza Nchi 2020 tutabadili Fikra za Mazoea Kwa Wananchi kusubiri Kuumwa ndiyo waende Hospital,Tutawajengea Uwezo wa Kucheki Afya Zao Mara kwa Mara pamoja na kuwapatia Bima za Afya" Kilewo.
Mbali na hayo Kilewo amefafanua kwamba ni muda muafaka kwa serikali kuwekeza kwenye Sekta ya Afya mahali ambapo panadaiwa kuwa na changamoto huku akikosoa namna Tanzania ilivyo nyuma kwenye sekta ya afya.
"Ni aibu na dhihaka kwa Taifa kwa watu kujazana kwenda kupata matibabu kwenye meli ya wachina, hii inaonyesha ni namna gani tulivyo nyuma kwenye Sekta ya Afya...Viongozi wetu kama wanashabikia hili basi Taifa lipo kwenye msiba mkubwa wa uongozi,Taifa linalia". Ameandika Kilewo kwenye ukurasa wake wa Twitter
Mpekuzi
dogo leo hujakaribishwa rasmi? au bado wanakusomaWafanyakazi wa makao makuu ya chama chake tu hawana Bima ya afya ijekuwa watanzania wote!?