M mzee wa 3 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 288 Reaction score 37 Jan 25, 2014 #1 Hayo yalisemwa leo na mwenyekiti wa BAVICHA ndugu Heche wakati akiwahutubia wananchi wa Karatu alisema 'wanahoji chopa 3 2015 tunarusha 10 kila kanda itapewa chopa lake'
Hayo yalisemwa leo na mwenyekiti wa BAVICHA ndugu Heche wakati akiwahutubia wananchi wa Karatu alisema 'wanahoji chopa 3 2015 tunarusha 10 kila kanda itapewa chopa lake'
Smartboy JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 1,111 Reaction score 129 Jan 25, 2014 #2 Saaf hapo kitaeleweka
HIMLER JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 429 Reaction score 227 Jan 25, 2014 #3 Cdm watupe budget kabisa ni kiasi gani kinagtajika 2015 tuanze kuzichangia mapema ili ziruke choppa 10 ikiwezekana na jet kabisaa
Cdm watupe budget kabisa ni kiasi gani kinagtajika 2015 tuanze kuzichangia mapema ili ziruke choppa 10 ikiwezekana na jet kabisaa
M mmaranguoriginal. JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 4,060 Reaction score 460 Jan 25, 2014 #4 haaaa haaa tehe tehe nasikia ccm wanamuomba pr. maji marefu awasaidie usafiri wa angani
M Magembejr JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 618 Reaction score 75 Jan 25, 2014 #5 jimbo la muheza tupo tayari kuchangia ili tupate chopa ya kampeni
N nelly banjo Member Joined Jan 12, 2014 Posts 19 Reaction score 5 Jan 26, 2014 #6 henhe ndo mana yake,ccm wakijamba sisi tunahalisha,tunataka kila kitongoji cha tanzania kufikiwa,ccm bye bye
henhe ndo mana yake,ccm wakijamba sisi tunahalisha,tunataka kila kitongoji cha tanzania kufikiwa,ccm bye bye