<BR>Suala, kama hili, ndilo ambalo tunge waushauri uongozi wa CDM kuchukua hatua. Mikutano ya hadhara ya kuishitaki serikali kwa wananchi inahitajika. Wananchi waelezwe nia ya madiwani na mbunge wa CDM kutoa elimu bure imekwamishwa na serikali ya CCM, watoe ushahidi wao. Kila diwani anatakiwa kufanya hivyo kwa wanachi wake. Litolewe azimio kuwa bajeti ijayo haitapitishwa na baraza la madiwani kama haitakuwa na bajeti ya elimu ya sekondari kwa wanfunzi wote wa shule za serikali. Haki hiyo wanayo ya kupinga bajeti na hakuna ambaye anaweza kuruhusu matumizi bila idhini ya baraza la madiwani.manispaa ya moshi madiwani wa cdm walitaka elimu Ded akawagomea akipata sapoti na wanamagamba wenzie.uwezekano wa kutoa elimu bure upo ila baadhi ya watendaji wa serikali wanakwamisha zoezi hili kwa makusudi