U UCD JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 10,433 Reaction score 7,449 May 29, 2020 #201 LIMBOMAMBOMA said: Hapo kwenye forensic umechanganya, ninavyojua forensic investigation lazima cyber ihusike.anayejua zaid atueleze Click to expand... Hapana siyo lazima cyber ihusike ila kwa kiswahili ni Uchunguzi wa Kitaalamu ambao unaweza kutumika Mahakamani kama ushahidi Wakati Forensic Accounting ni Ukaguzi wa Mahesabu wa Kitaalamu na wala si lazima ufike mahakamani.
LIMBOMAMBOMA said: Hapo kwenye forensic umechanganya, ninavyojua forensic investigation lazima cyber ihusike.anayejua zaid atueleze Click to expand... Hapana siyo lazima cyber ihusike ila kwa kiswahili ni Uchunguzi wa Kitaalamu ambao unaweza kutumika Mahakamani kama ushahidi Wakati Forensic Accounting ni Ukaguzi wa Mahesabu wa Kitaalamu na wala si lazima ufike mahakamani.
U UCD JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 10,433 Reaction score 7,449 May 29, 2020 #202 My Son drink water said: Tatizo lenu mnajiona mmeimaliza Dunia Click to expand... Wewe kuuza bia hapo Kunyaland ndiyo unafikiri umeimaliza dunia??
My Son drink water said: Tatizo lenu mnajiona mmeimaliza Dunia Click to expand... Wewe kuuza bia hapo Kunyaland ndiyo unafikiri umeimaliza dunia??
M Mbogo nyeusi JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 230 Reaction score 541 May 29, 2020 #203 UCD said: Mbona Chadema imeshajifuta yenyewe tu boss? Click to expand... Umejifuta wewe mpuuzi wa lumumba
UCD said: Mbona Chadema imeshajifuta yenyewe tu boss? Click to expand... Umejifuta wewe mpuuzi wa lumumba
technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,563 Reaction score 57,888 Jun 3, 2020 Thread starter #204 Duh, Mkakati Unaendelea
kamili JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,219 Reaction score 855 Jun 3, 2020 #205 technically said: Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani? Click to expand... Kwa jinsi CCM inavyoweweseka kwa CHADEMA lolote laweza tokea.
technically said: Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani? Click to expand... Kwa jinsi CCM inavyoweweseka kwa CHADEMA lolote laweza tokea.
paul sylvester JF-Expert Member Joined Mar 18, 2020 Posts 3,503 Reaction score 3,500 Jun 3, 2020 #206 Imeniuma Sana Kwa Chadema kuuwawa bila maandalizi ya kuuwawa, ni kama masihala vile
Chief Kabikula JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 7,564 Reaction score 9,041 Jun 3, 2020 #207 Hebu Jiwe kifute the ubebwe Kama jenerali Noriega USA battalion ipo jirani tu wakunhooshe maana wana hamu kweli na wewe.
Hebu Jiwe kifute the ubebwe Kama jenerali Noriega USA battalion ipo jirani tu wakunhooshe maana wana hamu kweli na wewe.