CHADEMA: Kila kitu mkopo!

Mtaweweseka sana maccm mwaka huu, Lowasa ndiye rais ajaye
 

Katika MAPUNGUANI WEWE NDO KIONGOZI WAO,UMESAHAU ATA YULE DR.SLAA MLIYE MKODISHA AMEWAAMBIA WAZI KUWA ILANI YA CHADEMA ILIANDALIWA MIEZI 10 KABLA SASA SIJUI INAKUAJE USEME ETI CHADEMA WAMEKOPA SERA KUTOKA KWENU MAFISIEMU?,UMESAHAU MGOMBEA WENU ALIVYOKOPI ILE YA MAZAO KWA WAKULIMA YEYE KAIBADILISHA KIDOGO NA KUSEMA KUWA "SERIKALI YAKE HAITOKOPA MAZAO YA WAKULIMA" WAKATI ILE ORIGINAL YENYEWE YA UKAWA INASEMA "WAKULIMA WAKIKOPWA MAZAO YAO NA SERIKALI,WARUDISHIWE NA RIBA"...TEH! TEH! TEH!..
 
Wewe hujakopesheka? Naona una mawazo mgando
 
Huna akili ya kutafakari mwenye kuandika hii post. Unafikiri ccm wanatoa pesa zao mfukoni kujenga majengo yao, kununua magari ya kifaharii au kulipa watu waje kwenye mikutano. Hizi ni pesa za wananchi. Chadema ndio wanakua kisiasa, lazima wakupe au watu wawachangie kukua
 

Kwahiyo ndo mkope hadi Hadi magari chakavu Kama akina SUMAYE na Lowassa? Halafu mbona mkopo wenyewe basi utoke ukanda mmoja?
 
Mkopo wa jirani yako wewe unakuhusu nini? Ni vyema mkajikita kuposti taarifa za makambi ya kipindupindu kukosa dawa ama mahujaji 5 wa Tanzania kufa huko hija,ama CCM kushindwa kutekeleza ahadi zake kwa wananchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…