Haya magamba hatuyaamini kabisha, yanataka kuiacha nchi kwenye giza ninalo ona. Hawa majamaa yanampango wa kuchakachua katiba na kuandaa mazingira ya kulinda uharifu ulio fanywa na mafisadi.
Hebu jiulize eti kuna usalama wa taifa, kuna TAKUKURU, je kama hizi taasisi zipo iweje watu wanahujumu mali ya umma bila woga, hivi kweli hawa wanalipwa mishahara na marupurupu?