kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Hata mteue nyiny hao watu wa tume ni ndoto kuipata!Kwa tume hii na polisi kweli hatuwezi wapata!
Washawishi viongoz wako walete katiba mpya,afu uje useme hayo maneno kama hujayakana mwenyeweHata mteue nyiny hao watu wa tume ni ndoto kuipata!
Muda wowote kutoka sasa kampeni za uchaguzi mdogo wa marudio zitaanza rasmi ndio kipindi siasa!A wishful thinking.
Sasa mbona mmewafungia milango wasifanye siasa, mnaogopa nini?
Hata ikiletwa hiyo katiba mpya bado hamjawa tayari kushika dola!Washawishi viongoz wako walete katiba mpya,afu uje useme hayo maneno kama hujayakana mwenyewe
Chaguzi zote wanashiriki na kupata wabunge, tume,polisi,bunge,jeshi si ndio hao hao!Kiukweli tz bado tuko ktk mfumo wa chama kimoja chini ya mwavuli hewa wa vyama vingi. Kila taasisi imeshikwa kwapani na ccm, polisi, jeshi, takukuru, mahakama, tume ya uchaguzi, bunge nk vyote vimetiwa mfukoni havina uhuru. Alafu mnataka upinzani uoneshe ushindani kivp?
MBELE YA HADHARAHata ikiletwa hiyo katiba mpya bado hamjawa tayari kushika dola!
Ni mtizamo wa majukwaa ya siasa!MBELE YA HADHARA
Ndugu wapenzi hapa kwangu ni shwali,salama u salmin unaweza kuacha laptop nje na hakuna kibaka atachukua muwe na amani mpumzike kwa raha mstarehe!?!
NYUMA YA PAZIA
Kabeni kila kona piga kufuli kila geti,mnunueni kila anaeweza kutupaisha, anaeonesha tishio mpotezeni.
HAPA KWELI PAKO SHWALI AU NI KUJIFARIJI TU?
Kwisha kabisa hawana cha kutuambia wananchi!Mlezi wa Chadema tangu kastaafu 2015 Chadema inapitia kipindi kigumu sana!
Makamanda Uchwara wote Siku hizi ni mwendo wa kurekodi clips na ku upload kwny Mitandao Hakuna cha zaid