KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,151
Mkuu Kim Kadash heri ya mwaka mpya. Naona kama ulipotea vile?
CDM kwa sasa wanajipanga nasikia kuna masalia wanatakiwa waondolewe, kuna tetesi za mipasuko ndani ya Chama huku mzee Wasira akirudia kauli yake kuwa CHADEMA itasambaratika punde.
Nadhani kamati kuu inakutana kuanzia leo basi huenda tukasikia maamuzi yanayotikisa.
Nipo kamanda,wakati mungine huwa nashiriki kwa njia ya kusoma tu,hasa kuanzia mwishoni mwa mwaka jana,nilijiweka pembeni kuwapisha wana cdm wamalize mpasuko ndani ya chama maana kama ulivyokua unaona wakilumbana na kuvuana nguo humu kuna mengi hatukua tukiyafahamu lakini waliyaweka hadharani ikiwemo suala la kumuomba samuel sitta wa ccm awe mgombea wa chadema!wakaeleza kwamba chama kama chama hakikua na mgombea kwenye nafasi ya urais mpaka baadae bwana slaa alipoombwa kuokoa jahazi kwa kupewa hela na kuahidiwa marupu rupu na stahili zote kama mbunge hata akishindwa urais,ndio akakubali,mwanzo aligoma akiamini hawezi kushinda ivyo hakutaka kuziweka rehani posho zake za ubunge wa karatu
Wamfukuze na zzk si wanasema msaliti!?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Wamfukuze na zzk si wanasema msaliti!?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Wewe mtoa Mada au yeyote yule anitajie tu mtu mmoja CHADEMA ambaye anadhani anaweza kugombea urais na KUSHINDA,kabla hatujaendelea na mada.
Hawa hawana uwezo wa kujenga wagombea wao wenyewe bali watasubiri makapi ya ccm.hiki hakina mwelekeo mzuri bali kitakuwa ccm b.nafikiri nccr kinakuja vizuri kinahitaji spot ya wa tz
Wewe mtoa Mada au yeyote yule anitajie tu mtu mmoja CHADEMA ambaye anadhani anaweza kugombea urais na KUSHINDA,kabla hatujaendelea na mada.
zitto nae hafai?
lowasa
jibu swali,cdm inao mkakati kuhakisha this time inasimamisha mgombea ubunge katika kila eneo bunge tofauti na uchaguzi uliopita ambapo sehemu nyingi hakikua hata na wagombea ubunge?Magamba kazini