honestly ccm have done the massive reconstitute in cc, nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa january who we all believe that he is a puppet. Mtu kama mkama, nape, chligati hawana makundi kabisa kwahiyo ccm kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.