NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 310
Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.

Not enough kweli.....na hiyo CDM uliyopo wewe naamini sio hii ya Dr Slaa.Hii CC ya chama cha magamba ni kama mbu hivyo CDM hatuwezi kutumia rungu kupambana nao....nenda kamsalimie mzee Msekwa na CC ya magamba waambie huku watu wapo variant hadi basi
Jitoe magamba na wewe! Hatudanganyiki.......Lowassa, Chenge na RA wako bungeni kwa ticketi ya chama kipi? Bunge ni zaidi ya chama NOT ENOUGH
Nyoka ni yule yule hakuna jipya,tatizo la ccm sio la mtu mmoja mmoja bali la mfumo wote haufai,
Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.
Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.
Not enough nimegundua huna msimamo wewe mara wajifanya mwanchadema huku ukiiponda,unaleta mambo ya kukata tawi ulilokalia
Mimi ni mkweli si mnafiki kama wanachama wengine, penye ukweli nasema ukweli
Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.
Na hii uliiposti somewhere elseHonestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.
Lema hapati ubunge 2015
Wana Arusha walikuwa wamechoswhwa kabisa na Mbunge wao Mrema ambae ailikaa kwa vipindi vitatu.Kuna usemi wanasema 2010 ungemshindanisha Mrema na karatasi basi watu wangepigia kura karatasi. Hii inaonyesha ni kiasi gani alikuwa amechokwa.
Lema alikuwa hodari wa kuomba kura kwani alikuwa na mvuto wakati wa kampeni, ila tuelewe unaweza kuwa mzuri kwenye kuomba kura lakini when it comes tu execution na jinsi ya kujenga hoja uka fail. Tuache ushabiki wa kisiasa ila kama leo tukisema tu mrate Lema na Zitto, Mdee, Mnyika na Lissu itakuwa ni sawa na kichuguu na mlima kilimanjaro. Wana Arusha wengi walizani Lema angepeleka challange bungeni kama vijana wenzake ila imekuwa tofauti kabisa. He presents his stuff in a cheap way and this proves his poor competence and knowledge.