Chadema hii sasa sifa!

Asee ccm mna shida!ptuuuu! Yaan picha za ofisi iliyohamwa ndo mnapandisha humu! Kwel sio wote wanaobeba majembe ni wakulima! Wengine mnaenda kunya porin
 
hahahaa mliishaambiwa ruzuku inaishia makao makuu hamkutaka kusikia. Haya ofisi kaa kibanda cha mkaa.
 
Hii ndio chadema iliyotabiriwa
 
Mbowe katika zile bilioni kumi malipo ya kuuza chama kashindwa kutoa milioni kadhaa kurekebisha ofisi...
 
hahahaha ndo mana jk akasema wafuasi wanywa viroba akili zimearibiwa hawaoni
 
Ili kuishabikia cdm unahitaji ujitoe ufaham kwanza.
 
Hiyo ofisi haitumiki siku nyingi sana,wamehamia hapo jirani,
mbarali siyo mbinguni,magamba wahed
 
💉💉 magamba najua inawaingia vizuri sana tulieni kabisa mpone kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…