Sasa wakituletea habari za ufisadi nasema hivi hao ni waongo ni matapeli na malofa..... Walimtukana sana lowasa mpaka lema alifikia kusema lowasa anastahili kutupiwa mawe mtaani.... Na hastahili kukatiza mitaani!!!! Na gazeti la mwanahalisi halistahili kutiliwa kununuliwa maana limedhihilisha kuwa ni gazeti la udaku.........kama magazeti ya udaku!!!! Chadema qalutuaminisha kuwa lowasa ni fisadi papa kupitia gazeti la mwanaharisi ..... Wakileta hoja ya ufisadi watakuwa wanajikaanga