baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,891 Reaction score 18,495 Sep 14, 2026 #1 Hawa wataendelea kuwavuruga wameumaliza mwendo Mbowe na Lema wafukuzwe haraka sana kabla hawajafanya mapinduzi ya chama fukuzeni
Hawa wataendelea kuwavuruga wameumaliza mwendo Mbowe na Lema wafukuzwe haraka sana kabla hawajafanya mapinduzi ya chama fukuzeni
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,421 Reaction score 31,922 Sep 15, 2026 #2 Mzimu wa Chacha Wangwe utaamshwa
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,563 Reaction score 42,959 Sep 15, 2026 #3 kwamba unauchungu na chadema ? Adui sikuhizi haombewi njaa?