msemakweli10
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 229
- 46
Mimi siwezi kusimama nikavua shat kwa ccm wala chadema: Nijuavyo mimi kukaangwa lazima tutakaangwa tu tunachofanya ni kuchagua sufuria tu.
(ya ccm au chadema)
mimi nawaomba tu viongozi wangu mtu kama zito ni mnafiki sana na ni msaliti mkubwa, wala asipewe nafac ya uongoz ndan ya chama ameshanunuliwa huyu. na atakisambaratisha chama, kijana mdogo unakuwa na tamaa ya pesa kiasi hiki? ndiyo maana kwenye bunge lililopita alikuwa kimya sana, ni bora hata huo uchaguzi unavocheleweshwa ndani ya chama ili waSipewe nafac watu kama hawa,
mnachelewesha uchaguzi makusudi ili mumfelishe Zitto ? mbona mnamtenga kiongozi wenu?mimi nawaomba tu viongozi wangu mtu kama zito ni mnafiki sana na ni msaliti mkubwa, wala asipewe nafac ya uongoz ndan ya chama ameshanunuliwa huyu. na atakisambaratisha chama, kijana mdogo unakuwa na tamaa ya pesa kiasi hiki? ndiyo maana kwenye bunge lililopita alikuwa kimya sana, ni bora hata huo uchaguzi unavocheleweshwa ndani ya chama ili waSipewe nafac watu kama hawa,