CHADEMA (cdm)

safi sana nimeipenda,kama senegal imewezekana kwanini hapa isiwezekane,mwache nepi ajipe moyo
 
kwi kwi kwi kwi sidanganyiki.
 
safi sana chadema .Safari ya ukombozi wa taifa letu ipo karibia na mwisho.tUOMBE KATIBA MPYA IANDIKWE NA TUWE NA NEC HURU
 
Yeah wanaandaliwa kama wale chipukizi wa CCM
 
Ndugu,

Kama kuna picha niliisha zifurahia humu JF, hii ni mojawapo japo siwezi kusema ndiyo picha namba moja. Ebu jaribu kuwapanga hao makamanda pasipo hao wawili wa nyuma yao. Nadhani itapendeza sana.

CDM juu!!

Mkuu, kuwapanga hao makamanda kama ulivyoomba - ila ni ki-photoshop zaidi ili kupata picha tu (imagination) .

No offense intended!




.
 
Kama tulivyolelewa enzi za Chipukizi tukawa damu damu, hao nao watakuja kuwa damu damu.
 
mpaka watoto wanajua cku hizi ni pipoz power...check walivyokaa kikamanda,dah ccm wana kazi kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…