Chadema Arumeru ni mfano wa kuigwa kwa kuanzisha Ligi ya Mpira wa Miguu.Hongera Mbunge Mh Joshua Nasari Mungu atakulipa kwa moyo wako wa kusaidia vijana.KILEWO,NASARI NA KOMBE WAWASHA MOTO Arumeru vijana wapo tayari kuzuia malipo ya Dowans.

Hivi mbunge Jeremia Sumari amepona au bado mgonjwa?kanini asijiuzulu wadhifa wa kibunge kama bado anaumwa!!!!!Hongera Nassari kwa moyowako wa kizalendo na kuwa karibu na vijana
Nasari ndiye aliyeshinda uchaguzi ila nec wakamtangaza Sumari. Sumari alianza kuugua kabla ya uchaguzi hadi leo. Hata kuapishwa bado wala hajatia mguu dom tangu mwaka jana!