Hii mambo ni noumer aseeh,
mshakaji aliagizwa kufata kondom kwa ajili ya majamboz usiku ila katika
pita pita yake akakutana na mdada mzuri mwenye ngozi laini kama ya mdada
fulani hapa Jf...bila kujali akaanza kujikoki ebwana eeeh, mi sisemi
yaniiii ni sawa na kula pic ya fish kwa sembe sheeeh