Cha asubuhi kitamu

Hivi kwa nini cha asbh kinakuwaga kitamu sana na mnakuwa na mood flani ya tofauti sana?
Kweli ila mie napendaga alasiri 9 mpaka 12 ijioni saa 2 mie sitaji usumbufu nipo busy cha 6 kamili mpaka 8 poa 10 nikujiandaa kwwnda mishe mishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…