Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,267
Kumbukumbu ya walipofungia ndoa ipo
Ukweli huko zipo. Ili kuepuka usumbufu wa kusafiri na kufatilia in bora kuviscan kama watu wanavyoscan vyeti vyao vya shule
duh....balaa hiiHabari wana jamii! Sasa hivi kumeibuka lindi la wanandoa wengi kuachana. Kuna jamaa yangu aliachana na mkewe jamaa akaondoka kwa hasira bila kuchukua cheti chake cha ndoa. Baada ya Muda jamaa akafikiria kuanza process za Talaka. Wakaitwa na mkewe kwa mahojiano, jamaa kaulizwa cheti akasema nilikiacha nyumbani mkewe ndo mtunzaji. Kuuliza mkewe akadai vyeti hajui vilipo hivyo shauri lao limehairisha mpk walete vyeti. Wanawake siku hizi wanaficha vyeti ili kesi za kutalakiana isifanikiwe. Wanaume jaribuni kuviscan na kuvisave kwenye mtandao hii itapunguza usumbufu.
unascan kisa kuachana?Ukweli huko zipo. Ili kuepuka usumbufu wa kusafiri na kufatilia in bora kuviscan kama watu wanavyoscan vyeti vyao vya shule
We need Expire date in a Married Certficates. Because Married its product like other products.Habari wana jamii! Sasa hivi kumeibuka lindi la wanandoa wengi kuachana. Kuna jamaa yangu aliachana na mkewe jamaa akaondoka kwa hasira bila kuchukua cheti chake cha ndoa. Baada ya Muda jamaa akafikiria kuanza process za Talaka. Wakaitwa na mkewe kwa mahojiano, jamaa kaulizwa cheti akasema nilikiacha nyumbani mkewe ndo mtunzaji. Kuuliza mkewe akadai vyeti hajui vilipo hivyo shauri lao limehairisha mpk walete vyeti. Wanawake siku hizi wanaficha vyeti ili kesi za kutalakiana isifanikiwe. Wanaume jaribuni kuviscan na kuvisave kwenye mtandao hii itapunguza usumbufu.