Ahsante kwa swali zuri.
Nakushauri usome diploma kuliko certificate.
Pili, waweza omba wizarani au sehemu hizi zifuatazo;
1. Muhimbili university
2. Bugando university
3. Lugalo school of nursing.
KUMBUKA UKISOMA SEHEMU NYINGINEZO ZA PRIVATE HUTAAJIRIWA NA SERIKALI PIGA UA. SEHEMU HIZO NILIZOORODHESHA HAPO JUU NDIZO ZINAZOTAMBULIWA NA SERIKALI. KAMA UNATAKA MAELEZO ZAIDI NI-PM