Kweli nami najitahidi kujivuta sana,sema ata connection ya kupata shughuli mtiani sana tunaishi kwenye ramani ya u kibarua wa siku moja kesho uielewi.Hii mambo ya banda naielewa Sana naja kuifanya soon,. mi pia nilikosaga mtaj wakufanya mambo yangu, niliomba msaada Kwa ndug na jamaa most of them hawakuniamin na walionisaidia Kwa kwel hakikunifikisha popote, katika hali ya kukata tamaa nikaamua kulima mpunga aisee , mwaka huo mvua ikakubali , nilipambana Mzee Kwa kuunga unga hvo ukipewa sent unalipa wafanyakaz mpak mradi ukaisha ...
Nilipata gunia 75 , nikaja kuziuza nikapata around 4 Million ndo mwanga wa Maisha ukaonekana....
Ukipata wa kukusaidia shukru Mungu but in reality ili kufikia ndoto zako unatakiwa ufanye jitihada za dhati
Hii mambo ya banda naielewa Sana naja kuifanya soon,. mi pia nilikosaga mtaj wakufanya mambo yangu, niliomba msaada Kwa ndug na jamaa most of them hawakuniamin na walionisaidia Kwa kwel hakikunifikisha popote, katika hali ya kukata tamaa nikaamua kulima mpunga aisee , mwaka huo mvua ikakubali , nilipambana Mzee Kwa kuunga unga hvo ukipewa sent unalipa wafanyakaz mpak mradi ukaisha ...