πππUjue raia wa nchi nyingine duniani wanatushangaa watanzania tulivyokuwa na maisha ya ajabu na ya kipekee duniani.[emoji23][emoji23]
ππYani walishindwa hata kuedit kabla ya kupost. Wange weka hata black n white. Mbona smartphone zote zina filters wao walikwama wapi????
Amesema mo kapatikana!Siro kaongea nn leo wakuu
atapewa siro maana ndo aliempataWow
Hiyo bilion moja kuna mtu kaipata
Aiseeatapewa siro maana ndo aliempata
ππππAisee
Hongera yake
Anafaa kuwa rais huyu igp
Ahaaa #akili za usiku
Na mnatoHiyo ya Siro ni still picture
Sasa ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wangeweka black and white hiyo picha imepigwa na cameraman aliyejikoki kabisa akiwa chini,hamna cctv za chini kiasi hikoYani walishindwa hata kuedit kabla ya kupost. Wange weka hata black n white. Mbona smartphone zote zina filters wao walikwama wapi????
OhooooooooπππππππππHii kapiga Roy chalii flani ya madigital sana Kisha akaifanyia picha makitu wajenzi wanaita skeeming