Standard care co ltd po box 694 mwanza tanzania,tel +255-754-808700 tunauza vifaa vyote vya ulinzi cctv cameras dvrs,digital video recorders,baluns,connectors,detector,security guard patrol monitoring systems,etc.
Mkuu unaonaje ukifafanua kidogo kuhusu biashara yako, kwa kueleza vifaa ulivyonavyo, vinavyo fanya kazi walau kwa kifupi, bei, na gharama zingine zinazo ambatana na hiyo mitambo. Namna hii unaweza pata wateja
Standard care co ltd po box 694 mwanza tanzania,tel +255-754-808700 tunauza vifaa vyote vya ulinzi cctv cameras dvrs,digital video recorders,baluns,connectors,detector,security guard patrol monitoring systems,etc.
Kamera za ulinzi za cctv zinauwezo wa kurekodi matukio kwa masaa ishiri na nne wiki mpaka miezi inategemea na ukubwa wa hard disk utakayo weka kwenya kingamuzi unganishi yaani dvr. Digitavideo recorder ambayo huchukua picha na kuziweka kwenye kumbukumbu kwa ajili ya. Mtumiaji kuweza kupata kumbukumbu za nyuma pia kamera. Zetu zina uwezo wa kurekodi bila mwanga wakati wa usiku kwa sababu zimeunganishwa na ainafulani ya mionzi isiyoonekana kwa macho yaani infrared.mition detectors unaweza usiwe na mbwa wala mlonzi nyumbani kwako ukanunua detector ambazo. Ukiwasha hakuna kitu cha kukatiza. Kwenye fensi yako na kama kuna mwenendo wowote nje ya nyumba alarn italia kwa sauti kubwa kukujulisha kwamba nje si.shwari pia mtambo wake unawekewa sim kadi ya gsm itakupigia simu na kukutumia sms kukujulisha kwamba nyumbani kwako kuna matatizo kwahiyo ni rahisi kwako kupanga mkakati wa kuokoa mali zako lakini katika cctv unaweza kuunganisha na intaneti na ukaweza kuziona kamera zako hata ukiwa mbali nanyumba yako hata nje ya nchi.
du hii ni kali!hebu tujuze zaidi,inakua ni kiasi gani na installation yake inakua ni kiasi gani?kwa mtu ambaye yupo Dar es salaam.hiyo ni kiboko ya vibaka wa kitaa.