Ccm

Chama Cha Mapinduzi(CCM) kupitia aliyekuwa mgombea wake,Dr.Dalali Kafumu(pichani) kimeibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora.Dr.Kafumu ameshinda kwa kupata jumla ya kura 26,488 huku kikifuatiwa kwa karibu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kilichojipatia kura 23,260.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu,Pinda.Ingekuwa picha hii imepigwa jana ningesema bila shaka wanafurahia ushindi wa Igunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…