Maelfu ya WanaCCM na Wapenda amani wakimuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCMZanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar
Ahahaha mbona humu jf kuna mazuzu ya ccm hivyo? Tofauti na mitandao mingine asante kwa kumshushua huyo kibaraka muongo anaesema kuna mkutano wa ccm kibanda maiti.