CCM yamwaga matusi Arumeru

Tusi gani? ukimuita mtu kwa wadhifa wake unakuwa umetusi?

Mkuu, kama ndio hivyo mnalalamika ni wakati watu wameitwa kwa nyadhifa zao! kumbe kampeni meneja wa CCM yupo sahihi.
 

Chadema mwenzeko Ulimbo kaisha kujibu.

Ebu tutajie hao matusi mnayolalamikia tuyapime kama kweli matusi.
 
Pale hakuna sera ni matusi mwanzo mwisho mkuu yaani kama unamtoto/Mke/dada usithubutu kumruhusu akaenda kwenye mkutano wa CCM
Mke na dada ni HATARI zaidi kwani kuna jamaa linaitwa Mwigulu Nchemba ni hatari sana, linaKULIA mkeo hivihvi, muulize kada wa Igunga. Jamaa sasa lina style mpya ya kulala na midume minne...

Huu mpelampela wanaopelekwa CCM wanatamani yule mtoa roho Israel wamfunge gavana asimchukue mbunge wao tena hadi 2015
 
naomba wafe wabunge wengine wa ccm tusikie vioja zaidi vya magambaz
 
Kwanini lakini kila siku siasa zetu ziwe kashfa na matusi. Kwanini jamani. Hivi hatuwezi kufanya siasa za kistaarabu za kumwaga sera tu. Ni lini siye Watanganyika tutakomboka na ghiliba za wanasiasa hawa uchwara. Narudia sipendi tena sipendi siasa za majitaka ambazo hazimsaidii mlalahoi wa nji hii.Tujirekebishe
 
Helkopta haikupita pale kwa bahati mbaya ulikuwa ni uchokonozi wa kisiasa.


Tanzania Daima ni gazeti la upande mmoja wa chadema habari zake zina vionjo vya mashaka



Matusi ni moja ya siasa ya vyama vyote hakuna jipya
Wewe hukuwepo kwenye tukio, kitu gani kinakufanya utangaze ujinga wako huu?
 

Mbona jamaa ni mtata kila pahali. Hao waanglikana anawajua? Wale wanaoana ma men kwa mamen.........bado wewe ni mganga wa Sioi.............na madunguli yake........Shetani kila mahali loooooooooohhh. Chungeni sana Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…