sasa hapo mbona sioni inavyo mgwaya Dr
Kwa maonin haya nimeamini chadema ni genge la matahaira. Hivi kweli mtu na akili zake atahangaika na kauli za slaa?? Alikwisha dai anataka kuuwawa halafu akadai eti kuna kontainer zima la kupigia kura kutoka afrika ya kusini liliingia nchini. Sasa hata mtoto wa chekechea hawezi kuamini eti ccm iagize silaha. Hizo silaha zina kaa wapi kama si utahaira. Huyu babu kweli kwa kauli ya nape anazeeka na anapoteza kumbukumbu. Juzi tu alijikanyaga huku anamshtaki nape kwa kusema chadema inafadhiliwa kwenye kikao ambacho pia anakili chama cha kikristo cha ujerumani kinawafadhili. Ni chakubanga tu huyu. Kama ingekuwa cuf imefadhiliwa na chama cha waislamu ungesikia kelele za maaskofu itv. Unaweza kuachana na kichaa watu waone tofauti lakini kutokuburuzwa mahakamani hakumaanishi kuwa unanga umehalalishwa
Na Chalila Kibuda
SIKU moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kumfungulia kesi Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye, CCM imesema haina mpango wa kukishtaki chama hicho kutokana na kudai kinaingiza silaha nchini. Akizungumza na Tanzania Daima jana kwa njia ya simu, Nape alisema chama hicho hakitafanya hivyo kwa kuwa kinaendelea kukijenga chama.
Hutuendi mahakamani kuishtaki CHADEMA kwa kile walichodai kuwa CCM inaingiza silaha nje ya kanuni zilizowekwa na nchi, alisema Nnauye.
Hivi karibuni, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Salaa, akiwa mkoani Morogoro alinukuliwa akisema CCM imeingiza silaha nchini bila kibali, ili zitumiwe na vijana wao kukabiliana na wapinzani.
Kwa maonin haya nimeamini chadema ni genge la matahaira. Hivi kweli mtu na akili zake atahangaika na kauli za slaa?? Alikwisha dai anataka kuuwawa halafu akadai eti kuna kontainer zima la kupigia kura kutoka afrika ya kusini liliingia nchini. Sasa hata mtoto wa chekechea hawezi kuamini eti ccm iagize silaha. Hizo silaha zina kaa wapi kama si utahaira. Huyu babu kweli kwa kauli ya nape anazeeka na anapoteza kumbukumbu. Juzi tu alijikanyaga huku anamshtaki nape kwa kusema chadema inafadhiliwa kwenye kikao ambacho pia anakili chama cha kikristo cha ujerumani kinawafadhili. Ni chakubanga tu huyu. Kama ingekuwa cuf imefadhiliwa na chama cha waislamu ungesikia kelele za maaskofu itv. Unaweza kuachana na kichaa watu waone tofauti lakini kutokuburuzwa mahakamani hakumaanishi kuwa unanga umehalalishwa
Iringa halafu Singida kituo.Wapi M4C?

Ni kweli nakumbuka, Nape alitamba kuwa kama Slaa hatakanusha kuhusu madai yake kuwa CCM, imeingiza silaha ili iwape vijana wake, kufanya fujo, atamfungulia mashitaka.Sasa kama Nape huyo huyo sasa anasema hawezi kumfungulia kesi Slaa, ni dhahiri amamgwaya Slaa, na anajua itakapofunguliwa hiyo kesi, Dr Slaa atakuja na ushahidi mzito, ambao utawaumbua vibaya magamba!Nape alisema atafungua kesi dhidi ya slaa kwa kusema ccm inaingiza slaa.kwa maneno haya ya nape ni dhahiri kamgwaya Dr.