Hivi Mgombea wa Chadema anaitwa nani?Kwa maoni yangu, bila wanachama kuchukua hatua ya kuikomboa CHADEMA kutoka kwenye clique ya kipigaji ya Mbowe na wenzake, ushindi wa CHADEMA utaendelea kuwa wa bahati nasibu. Chama kinahitaji brain mpya yenye mikakati ya kisiasa yenye tija!
Hivi Mgombea wa Chadema anaitwa nani?
Kujidanganya kuzuri sana.mbona naona wanawake wa kizaramo na shungi zao tu kwenye mkutano huo. inamaana wakurya wamemsusa mwita
mbona naona wanawake wa kizaramo na shungi zao tu kwenye mkutano huo. inamaana wakurya wamemsusa mwita
Kujidanganya kuzuri sana.
Matokeo ya uchaguzi yakitoka ndiyo tutajua kama walimsusa au la. Hata hivyo, huu sio uchaguzi wa chief wa wakurya. Anahitaji kura za wakazi wa Ukonga bila kujali makabila yao!
Kwa maoni yangu, bila wanachama kuchukua hatua ya kuikomboa CHADEMA kutoka kwenye clique ya kipigaji ya Mbowe na wenzake, ushindi wa CHADEMA utaendelea kuwa wa bahati nasibu. Chama kinahitaji brain mpya yenye mikakati ya kisiasa yenye tija!
Kwa hiyo wasipo mpa kura Waitara hawaletewi maji? Maji si jukumu la serikali haijalishi kuna mbunge wa chama kipi maana ni kodi zetu ndi8zitatuletea maendeleo.Miaka yote CCM imeshindwa kuyafanya hayo maendeleo.Leo ndiyo wamekuja na utapeli huo?Hahahahahaaa!
Ukonga inakwenda kwa Waitara, habari ndio hiyo. Pole sana.nashukurumungu sasa hivi raisi wetu jpm ameanza kugundua tatizo, amewekawazi alipokuwa musoma,makada wengi humu ccm ni wachumia tumbona mafisadi,,,kaanza na yule mmiliki wa hotel huko musoma, kasema hata vyombo vya ulinzina usalama pia vimekuwa vinatumika vibaya na makada....ndugu zangu mkae vizuri soon mtatafuta pakukimbilia wallah
Ukonga inakwenda kwa Waitara, habari ndio hiyo. Pole sana.