Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chadema
Kwa takribani mwezi mmoja hivi sasa CCM imepoteza zaidi ya wenyeviti wa mitaa wapatao watano, ambao wameamia CHADEMA na mwingine aliposimamishwa kugombea wadhifa huo aliibuka na ushindi wa kishindo katika Mtaa wa Nonde Bwana Ezekiel King, ambaye pia alishawahi kuwa golikipa wa Tukuyu Stars na Mapinduzi Stars ya Mbeya, mtaa anaoishi Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Bwana Athanas Kapunga.
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Mbozi Bwana Joseph Mwachembe akimkabidhi kadi ya uwanachama wa chadema Bi Happiness
Maelfu ya wakazi wa Mbozi walihudhuria mkutano huo
Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chadema
Hadi magamba na ukurutu na Upulipuli na Magaga na Mang'oning'oni na Mapunye yapukutike yote kabla ya 2015.Mbeya nchi,Rais Sugu PM Silinde.JMT ni muungano wa nchi kadhaa,Rais Dr SLAA, na PM ni Said Arfi au Zitto au Tundu Lissu. PEOPLES.....POWER