richclassic Member Joined Mar 7, 2014 Posts 19 Reaction score 1 Sep 11, 2015 #1 Saizi Ccm wako Meatu wanatangaza mkutano magufuli atakuwa meatu mkoani simiyu kwani watu wameambiwa wakae barabarani centre za vijiji kuna magari yatapita kuwabeba ilikuwaleta meatu mjini.Tutazidi kuwahabarisha kinachoendelea
Saizi Ccm wako Meatu wanatangaza mkutano magufuli atakuwa meatu mkoani simiyu kwani watu wameambiwa wakae barabarani centre za vijiji kuna magari yatapita kuwabeba ilikuwaleta meatu mjini.Tutazidi kuwahabarisha kinachoendelea
Mohamed R JF-Expert Member Joined Mar 28, 2013 Posts 2,232 Reaction score 426 Sep 11, 2015 #2 Weka na picha za hayo magari kabisa.
M MICHAEL JOSEPH93 Senior Member Joined Aug 1, 2015 Posts 118 Reaction score 5 Sep 11, 2015 #3 Ndo tabia yao lkin sio kesi
O Ohooo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 807 Reaction score 1,086 Sep 11, 2015 #4 Bila gia hiyo Pombe hapati mtu
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,354 Sep 11, 2015 #5 Sio vibaya watu wanaokaa mbali na mkutano unapofanyikia kupewa usafiri wa kufika mkutanoni.
TeamLowassa JF-Expert Member Joined Nov 30, 2013 Posts 1,495 Reaction score 937 Sep 11, 2015 #6 Watabebana sana mwaka huu!
K Kamuche JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 368 Reaction score 121 Sep 11, 2015 #7 Wanajitahidi kuwapata wengi ili wawasikilize. Ni mbinu nzuri.
H halaaaa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 305 Reaction score 74 Sep 11, 2015 #8 richclassic said: Saizi Ccm wako Meatu wanatangaza mkutano magufuli atakuwa meatu mkoani simiyu kwani watu wameambiwa wakae barabarani centre za vijiji kuna magari yatapita kuwabeba ilikuwaleta meatu mjini.Tutazidi kuwahabarisha kinachoendelea Click to expand... Kwani hapo meatu watu wanayasemeaje haya mabadiliko? Maana nakumbuka mbowe walimsimika kama mtemi
richclassic said: Saizi Ccm wako Meatu wanatangaza mkutano magufuli atakuwa meatu mkoani simiyu kwani watu wameambiwa wakae barabarani centre za vijiji kuna magari yatapita kuwabeba ilikuwaleta meatu mjini.Tutazidi kuwahabarisha kinachoendelea Click to expand... Kwani hapo meatu watu wanayasemeaje haya mabadiliko? Maana nakumbuka mbowe walimsimika kama mtemi