Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Taarifa hiyo
imenukuliwa na gazeti la tanzani daima leo kuwa ccm wameanza kupiga
kampeni misikitini ya kuwarubuni waislam wakubali serikali mbili,source
tanzania daima leo 22/5/2014
Msikiti gani? Maana kama ni msikitini kwa Jongo nitakuoneni wa ajabu sana kuileta mada hapa jamvini.Taarifa hiyo imenukuliwa na gazeti la tanzani daima leo kuwa ccm wameanza kupiga kampeni misikitini ya kuwarubuni waislam wakubali serikali mbili,source tanzania daima leo 22/5/2014
Japo sina uhakika kama hizo habari ni za kweli au uongo, lakini sioni cha kushangaza hapo!
Lukuvi alishaanza kanisani na hakufanywa chochote, kwa hiyo kuna uwezekano hata hilo la msikitini likawa kweli.