B Bangoo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 5,597 Reaction score 1,016 Jun 23, 2013 #21 Ee Mungu kwa nini hukuwaondoa hao wazulumishi na wezi wakubwa hao.. Naomba wasipate nafuu.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,451 Reaction score 99,419 Jun 23, 2013 #22 "mimi chadema damu lakini siombei ccm iwe na ari ngumu unadhani ina faida gani ikiwa ccm ikifa nani atakuwa mpinzani?"
"mimi chadema damu lakini siombei ccm iwe na ari ngumu unadhani ina faida gani ikiwa ccm ikifa nani atakuwa mpinzani?"
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,535 Reaction score 40,167 Jun 23, 2013 #23 Dah nimefungua thread kwa raha nikaishia kuifunga kwa huzuni...hhiiiiiiiiiiiii mbona hivyooo?
M Masoud Mwakoba Senior Member Joined Dec 21, 2012 Posts 129 Reaction score 19 Jun 23, 2013 #24 Habari hiyo haivutii,ilitakiwa isomeke hivi makada 14 wa ccm wafa ajalini huko pemba! Binafsi ningefanya bonge la party
Habari hiyo haivutii,ilitakiwa isomeke hivi makada 14 wa ccm wafa ajalini huko pemba! Binafsi ningefanya bonge la party