Wakuu hii picha kama nilivyo ikuta sehemu nashindwa kuelewa mchoraji nini alikusudia kutujuza sisi wazalendo wa nchi hii. Tafadhali mwenye kuelewa hii habari picha atujuze.
Baada ya Jiwe kujipa Cheo cha "Kiongozi Mkuu wa Malaika" basi hawa chini wote akina Bashiru wanajiona ni vijimalaika flani hivi.....wananifanya wako peponi sasa wanatawala!!!