CCM wamshambulia mdhamini CHADEMA

mkuu umesema vyema, ila huyo mhindi ajiandae kusumbuliwasumbuliwa na vyombo vya dola na hata kuambiwa sio raia, kisa ametofautiana na ccm! Hii nchi inakoelekea siko, huo umoja na mshikamano unaouhubiriwa na ccm uko midomoni tu na sio kwenye vitendo kamwe.
 
Muhindi anasikia kichefu chefu anataka ndimu
 

Wahindi mna kazi
 
Ccm ndio chama pekee kitachoweza kuleta vita ya wenyewe kwa wenyewe hapa Tanzania, na ni kwasababu hawaamini watanzania wameanza kubadilika.
 
Wahindi wengi ni mashoga wanakimbilia chama cha muhimili wao CDM

Basi kama ni mashoga huko CCM mashoga yapo kila aina au unataka tuanze kuyataja hapa na mabasha yao? Uchafu mtupu
 

Wamwambie na Sabodo sio mtanzania.
 
Hivi zile pikipiki za M4C na pick up ziko wapi?

MATOKEO MAKUBWA SASA - tangible output imeonekana last week na sio blah blah za kisiasa za kuwahadaa wananchi. Zimepaki waiting for the next operation.
 
Wahindi wengi ni mashoga wanakimbilia chama cha muhimili wao CDM

wewe bado upo kwenye giza tototoro... kwani sex orientation ya mtu inahusiana vipi na msimamo wake kisiasa... mbona mmiliki wa apple ni shoga.... what about it........... nyie ndo wale wale mnaofanya waafrika waonekane ni less than human....shame on you.
 
Hoja yako iko wapi unapenda wazungu kama mzee slaa anavyowapenda wazungu sijui wanawapa nini.

Umemsahau Mzee Wa Tezi Dume? Aliyeshindwa kwenda hata mwananyamala kutolewa zigo akaenda kwa wazungu? Inaonekana wazungu humfanyia huduma nzuri ndio maana hadi sasa ana ziara za ughaibuni zaidi ya 500.
 




mmmmmhhh..... makaburu at work.... ccm ni wabaguzi dunia haijawah kushuhudia...kwamba wahindi hawana haki ya kuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa......., nimeamini mkitoka madarakani mtatuletea vita kubwa sana...upinzani ujiandae kisaikolojia kwa hilo
 
Basi kama ni mashoga huko CCM mashoga yapo kila aina au unataka tuanze kuyataja hapa na mabasha yao? Uchafu mtupu

Maccm yote hayana akili kabisa,hivi huyo mbulumundu hajui kuwa kuna wahindi kibao ccm tena wakiwa wabunge? Hivi anamaanisha DEWJI,PATEL JITUSON,NA YULE WA BABATI NAO MASHOGA? Kweli ccm ni laana
 

Wale wale..
 
Nchi inamiko yake haiwezi kuvurugwa na ujinga wa chadema kama unavyodhani.

CCM na vyombo vya dola vimeamua kuaribu nchi yetu, ngoja tushiriane nao kuaribu nchi wenda tunaweza kushirikiana kuijenga upya tena. PENYE FUJO NAWE ZIDI KUTIA FUJO WENDA AMANI IKAPATIKANA
 
Hoja yako iko wapi unapenda wazungu kama mzee slaa anavyowapenda wazungu sijui wanawapa nini.

Kwa nini nyie watu mnapokuwa mnapost reply zenu hamji na majibu ya hoja???
Hapa kuna hoja ya msingi na imeongezwa nyingine kuwa kumbe Wahindi wote ni wafuasi wa ccm kwa mujibu wa maelezo ya huyo sijui Sauda (mbandika vipeperushi), badala ya kuchambua na kuja na hoja zenye mashiko, unakuja na mipasho. Hivi nyie wafuasi wa ccm ndo mmefikia mwisho wa kufikiri?
Mzee Warioba anasema amekuwa akitoa hoja nzito zinazostahili majibu, wanaotakiwa kujibu hoja hizo wanaleta mipasho kama ulivyofanya hapa, ndo nawaulizeni sasa, mmekuwaje wafuasi wa ccm???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…