CCM wamejiandaa kukubali matokeo?

Lengo la kukaa mita 200 sio kuzuia wizi ndani ya vituo bali ni kuzuia kuingiza kura feki kwa kutumia chupa za chai na hot pot kama ambavyo imeshuhudiwa katika chaguzi zilizopita.
 
Lengo la kukaa mita 200 sio kuzuia wizi ndani ya vituo bali ni kuzuia kuingiza kura feki kwa kutumia chupa za chai na hot pot kama ambavyo imeshuhudiwa katika chaguzi zilizopita.

Kwa hiyo njia mlizoweka kichwani za mtu kuweza kuiba kura ni kutumia chupa za chai na hotpot peke yake? Hehehe
Ndo maana hua nasema wabongo wengi IQ ndogo, njia za kuiba kura zipo nyingi sana, na ukweli unabaki palepale tu, kukaa 200m hakuzuii kitu, hamtoweza kuona kinachoendelea ndani ya kituo, kama NEC imepanga kuiba kura hamtoweza kuishinda. Anyway wakae tu hizo 200m wasubiri wasio na kazi coz ndo wana muda wa kutosha wa kupoteza wakidhani wanazuia kitu.

Alafu watu mko paranoid tu, hakuna uibaji wa kura wala nini, wale wanaokaa pale kwenye vituo ni watu kama wewe na mimi, wengi ni walimu wanaofundisha hizi hizi shule ambazo watoto wenu wanaenda, sasa kama mnakaa mnadhani NEC wana uwezo wa kuwalipa wasimamizi hawa wote Tanzania nzima kuwaibia kura mnajidanganya, hakuna siri ya watu 100 hata siku moja.
 

Hahahahaaa hahahaaa haahahaaaa ujue tuna shida mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…