Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
- Thread starter
-
- #21
Muulizeni muone kama atakwepa swali
Umeshaambiwa kuwa tayari Lowassa ameeleza bayana alipohojiwa na Zuhura Yunus wa BBC kuwa iwapo atashindwa kwenye uchaguzi wa keshokutwa atarejea Monduli na kufuga ng'ombe wake.Swali hapo linatakiwa liwe UKAWA wako tayari kukubali matokeo?
Washindanapo fahari wawili ni lazima mmoja atashindwa.
Tayari Lowassa ameonyesha njia, alipohojiwa na BBC alieleza bayana kuwa iwapo atashindwa kwenye uchaguzi wa keshokutwa atarudi Monduli kwenda kufuga ng'ombe wake.
Tunamtaka Magufuli na CCM yake wajitokeze hadharani na wautangazie Umma wa watanzania kuwa iwapo wao nao watashindwa, watayapokea matokeo hayo na kuwa tayari kukabidhi madaraka kwa amani kwa Ukawa.
Iwapo Magufuli 'atagoma' kutamka hadharani kuwa iwapo na yeye atashindwa kwenye sanduku la kura basi atakuwa tayari kuyapokea matokeo, tutaamini kuwa lipo jambo nyuma ya pazia la goli la mkono ambalo maccm wamelipanga.
Itabidi CCM wasikilize ushauri wa busara sana alioutoa Goodluck Jonathan, aliyekuwa Rais wa Nigeria ambaye aliksbidhi madaraka kwa amani kwa mpinzani wake Mohamed Buhari aliyeshinda uchaguzi huo.
Kitendo chochote cha CCM kulazimisha goli la mkono kitaisababishia nchi hii machafuko na wao CVM hawataepuka mkono wa vijana wa Bensouda wa kuburuzwa kupelekwa The Hague kujibu mashitaka ya uhalifu na kusababisha machafuko kwenye nchi hii.
Lakini pia yapasa tuwaulize Ukawa iwapo watakubali matokeo,kama CCM itashinda
Mkuu, miye sioni sababu ya kuwalazimisha watu kwa kuwauliza maswali kuhusu kukubali au kukataa matokeo. Maana ya neno "matokeo" ya uchaguzi ni kuwa yatakuwa wazi yakionyesha ni nani amepata kura nyingi, sasa hilo la kuktaa matokeo linatoka wapi tena. Nathani taasisi ya kuuliza swali ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa iko tayari kuendesha uchaguzi huru na haki. Hebu fikiria uchaguzi kama utaendeshwa kwa uhuru, uwazi na haki, zikahesabibiwa kwa uwazi na matokeo ya kila kituo kukubaliwa na mawakala wote kuanzia ngazi ya Kata, Majimbo hadi taifa. Sasa huyo atakayekataa matokeo ni nani tena.Washindanapo fahari wawili ni lazima mmoja atashindwa.
Tayari Lowassa ameonyesha njia, alipohojiwa na BBC alieleza bayana kuwa iwapo atashindwa kwenye uchaguzi wa keshokutwa atarudi Monduli kwenda kufuga ng'ombe wake.
Tunamtaka Magufuli na CCM yake wajitokeze hadharani na wautangazie Umma wa watanzania kuwa iwapo wao nao watashindwa, watayapokea matokeo hayo na kuwa tayari kukabidhi madaraka kwa amani kwa Ukawa.
Iwapo Magufuli 'atagoma' kutamka hadharani kuwa iwapo na yeye atashindwa kwenye sanduku la kura basi atakuwa tayari kuyapokea matokeo, tutaamini kuwa lipo jambo nyuma ya pazia la goli la mkono ambalo maccm wamelipanga.
Itabidi CCM wasikilize ushauri wa busara sana alioutoa Goodluck Jonathan, aliyekuwa Rais wa Nigeria ambaye aliksbidhi madaraka kwa amani kwa mpinzani wake Mohamed Buhari aliyeshinda uchaguzi huo.
Kitendo chochote cha CCM kulazimisha goli la mkono kitaisababishia nchi hii machafuko na wao CVM hawataepuka mkono wa vijana wa Bensouda wa kuburuzwa kupelekwa The Hague kujibu mashitaka ya uhalifu na kusababisha machafuko kwenye nchi hii.
Katika kipindi hiki, maswali na majibu yote hufanyika kwenye majukwaa ya kampeni!Tutampata wapi wakati Haonekani kwenye media? Mwenzie ameshafanya interview na TV stations zaidi ya tano ila yeye hajafanya hata moja, ana kazi ya kusema tumwamini hatatuangusha.
Hivi ulisoma makala ya Jenerali Ulimwengu? Kuwa Magufuli alikataa mahojiano na akataka apelekewe Maswali lakini bado hakuyajibu?
Katika kipindi hiki, maswali na majibu yote hufanyika kwenye majukwaa ya kampeni!
Anyways, hujamsikia Magufuli amesema akishindwa atarudi Mwanza kivua samaki??
CCM INASHIN. Hili ni clear
Lakini lazima ukumbuke kuwa mpambano huu mkali kati ya CCM vs Ukawa ni mpambano baina ya chama cha siasa Chadema/Ukawa na chama dola cha CCM.Mkuu, miye sioni sababu ya kuwalazimisha watu kwa kuwauliza maswali kuhusu kukubali au kukataa matokeo. Maana ya neno "matokeo" ya uchaguzi ni kuwa yatakuwa wazi yakionyesha ni nani amepata kura nyingi, sasa hilo la kuktaa matokeo linatoka wapi tena. Nathani taasisi ya kuuliza swali ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa iko tayari kuendesha uchaguzi huru na haki. Hebu fikiria uchaguzi kama utaendeshwa kwa uhuru, uwazi na haki, zikahesabibiwa kwa uwazi na matokeo ya kila kituo kukubaliwa na mawakala wote kuanzia ngazi ya Kata, Majimbo hadi taifa. Sasa huyo atakayekataa matokeo ni nani tena.
Kwa kupngezea tu hapo ni kuwa JK alitamka kuwa CCM ni chama kikongwe na kina 'maarifa' mengi ya kushinda.Mi kwa mtazamo wangu naona CCM wamejiandaa kupora ushindi wa UKAWA na si vinginevyo labda dola/jeshi lisimamie ili haki ya ushindi iweze tendeka. Rejea hutuba za JK, ''Tutashinda kwa namna yoyote ile''
Swali hapo linatakiwa liwe UKAWA wako tayari kukubali matokeo?
Umeshaambiwa kuwa tayari Lowassa ameeleza bayana alipohojiwa na Zuhura Yunus wa BBC kuwa iwapo atashindwa kwenye uchaguzi wa keshokutwa atarejea Monduli na kufuga ng'ombe wake.
Tunamtaka na Magufuli naye ajitokeze hadharani na kutamka bayana kuwa iwapo kura kwa upande wake hazitatosha hapo keshokutwa atakuwa naye tayari kurejea Chato na kujishughulisha na shughuli za uvuvi.
Iwapo Magufuli atashindwa kujitokeza hadharani na kulitamka hilo basi wananchi tutaamini kuwa CCM ina mpango wa kufunga goli la mkono kwenye uchaguzi wa keshokutwa.
Nashauri next time ujifunze kusoma na kuelewa kilichoandikwa kuliko kukimbilia kupost, inapunguza heshima na utu
Mkuu hilo ni tatizo la chama tawala kuweka Makada wake katika ngazi nyeti za uongozi kama hizo kwa ajili ya kuwalinda. lakini inakuwa kinyume maana wanakiharibia na kusababisha wananchi wakichukie na Serikali nzima. Sheria inasema matokeo ya uchaguzi wa Diwani yatatangazwa ngazi ya kata, Mbunge ngazi ya Jimbo na Rais ngazi ya taifa katika eneo ambalo wataona linafaa. Katika hali ya kawaida, matokeo ya Rais yanaweza chukua siku mbili hadi tatu kutangazwa, matokeo ya Udiwani na Ubunge, yanaweza kutangazwa usiku wa siku hiyo hiyo baada ya uchaguzi au siku ya pili yake. Sasa hebu fikria Msimamizi wa uchaguzi atamgaze matokeo ya Udiwani au Ubunge tarehe 26 saa 4 asubuhi, watu tutulie mpaka tarehe 28 saa 8 mchana ndo tushangilie, hayo kweli nimaelekezo halali kutoka kwa Kiongozi halali ?Lakini lazima ukumbuke kuwa mpambano huu mkali kati ya CCM vs Ukawa ni mpambano baina ya chama cha siasa Chadema/Ukawa na chama dola cha CCM.
Tujikumbushe mkwara mzito alioutoa IGP Mangu jana kuwa ni marufuku wananchi kuwashangilia hata madiwani na wabunge wao walioshinda ambao wasimamizi wa majimbo husika watakuwa wamewatangaza kushinda kwenye majimbo husika, hadi siku ambapo Rais wa awamu ya 5 atakapoapishwa!
Hivi ukiitafakari kauli hiyo ya IGP itakuwa na lengo zuri kweli kwa nchi yetu?
Kwa kuwa umekuwa utaratibu wetu tokea chaguzi za kwanza za mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 Madiwani na Wabunge kushangiliwa baada ya kutangazwa kushinda kwenye maeneo husika, kwa nini iwe TOFAUTI mwaka huu????????????