Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,358
- 100,379
Wanajamvi namshukuru Mungu kumekucha salama, nimefurahi pia kusikia kuwa Yericko Nyerere ni mzima lakini pia sijawahi kumuona ndugu yangu BAK ambaye kila siku hakukosa kupost kitu chenye maana, nilitamani sana pia kwenye kipindi hiki tumsikie ndugu yetu KAINERUGABA MSEMAKWELI, yupo salama?
Kwa mara nyingi sana tumesikia Wapinzani wakiulizwa utayari wao wa kukubali matokeo endapo yatatoka kinyume na matarajio yao lakini swali kama hili hili hua hawaulizwi CCM as if wao ndio wenye haki ya kushinda na wengine kushinda kwao ni bahati nasibu.
Leo niwaulize Makada wa CCM kwa mwendo huu tunaouona, je kama mambo yatakuja ndivyo sivyo CCM watakubali kushindwa? Je Jk atakua tayari kumkabidhi mikoba Lowasa? Je Jeshi la Polisi ambao kwa sasa wako kila mahali wakikamata vijana wasio hatia, watakua tayari kuwapa ushirikiano UKAWA!? Na kukiri kwao kutumika kwa ahadi za vyeo na nyongeza za mishahara?
Asanteni, safarini Njombe ndani ya Luwinzo.
Swali lako ni zuri sana lakini uko biased kuliko maelezo. Mfano hayo ya vijana kukamatwa bila"hatia" ni ushabiki. Kwanza polisi hawakamati kwa hatia maana hatia inatamkwa mahakamani.
Mzeewenu amekubali matokeo na kusema kuwa atarudi Longido kuchunga ng'ombe kwa boma...watanzania wengi wamemuheshimu kwa hilo.
Ila swali ni, je hatakuwa na interest tena ya kujenga chama?
Natangaza ushindi wa kwa kihistoria kwa UKaWa na Watanzania wote!!!!!!!!!!!!!!!.
Natamka anguko kubwa la ccm na mamluki wake wote.
Ninasambaratisha na kuvuruga usemi wa vikundi vya wana ccm wachache waliosalia.
Ninaangusha kila nguzo wanayoitegemea kuitumia kughushi matokeo.
Ninaamuru viongozi wote wanaopanga, kuratibu na kudhamiria kutumia vyeo vyao katika kuhujumu matokeo halali ya uchaguzi, wasipate nafasi ya kufanya maovu hayo, nafasi zao ziondoke mbele ya washabiki wao, walilpe gharama ya dhamira zao mbovu kwa gharama yao wenyewe.
Natamka mauti kwa wachawi na wanaotumia uchawi katika uchaguzi.
Ninanena amani, haki, na ushindi mkubwa kwa taifa la Tanzania chini ya UKaWA.
Atakayedhamiria kufanya hujuma ama kutekeleza hujuma aanguke mbele ya wakuu wake na anaowategemea wamsaliti abaki katika giza lenye upweke bila mfariji.
NINABATILISHA KILA MPANGO ULIOKWISHA KUPANGWA, UNAOPANGWA AU UTAKAOPANGWA AMA KUFANYIKA WAKATI WOWOTE KATIKA UCHAGUZI HADI MATANGAZO YA KURA ZA UCHAGUZI HADI KUAPISHA WASHINDI, ULIO KINYUME NA KWELI NA HAKI. MIPANGO YOTE MIOVU IHARIBIKE NA KUFANYIKA AIBU JUU YA VICHWA VYA WAHARIBIFU ILI WAWE SOMO KWA BINADAMU WENGINE DUNIANI KWA UTUKUFU WA JINA LA BWANA YESU KRISTO ANAYEISHI MILELE.
WATU WOTE WASEME AMINA.
Muulizeni muone kama atakwepa swaliHapo ndio penye msingi wa swali langu kuwa "Mzee wetu " atakubali, je na nyie "kijana " wenu na nyie wenyewe mtakubali? Yeye amesha declare naomba na nyie mfanye vivyo hivyo. Msikwepe swali, mbona liko wazi swali langu?
Jaman tuwe na akili za kujiongeza kwan hawez kukijenga chama pia akawa mchungaji? Au ndo yaleyale ya sadam rais wa Kuwait?Mzeewenu amekubali matokeo na kusema kuwa atarudi Longido kuchunga ng'ombe kwa boma...watanzania wengi wamemuheshimu kwa hilo.
Ila swali ni, je hatakuwa na interest tena ya kujenga chama?
Washindanapo fahari wawili ni lazima mmoja atashindwa.Mzeewenu amekubali matokeo na kusema kuwa atarudi Longido kuchunga ng'ombe kwa boma...watanzania wengi wamemuheshimu kwa hilo.
Ila swali ni, je hatakuwa na interest tena ya kujenga chama?
Wanajamvi namshukuru Mungu kumekucha salama, nimefurahi pia kusikia kuwa Yericko Nyerere ni mzima lakini pia sijawahi kumuona ndugu yangu BAK ambaye kila siku hakukosa kupost kitu chenye maana, nilitamani sana pia kwenye kipindi hiki tumsikie ndugu yetu KAINERUGABA MSEMAKWELI, yupo salama?
Kwa mara nyingi sana tumesikia Wapinzani wakiulizwa utayari wao wa kukubali matokeo endapo yatatoka kinyume na matarajio yao lakini swali kama hili hili hua hawaulizwi CCM as if wao ndio wenye haki ya kushinda na wengine kushinda kwao ni bahati nasibu.
Leo niwaulize Makada wa CCM kwa mwendo huu tunaouona, je kama mambo yatakuja ndivyo sivyo CCM watakubali kushindwa? Je Jk atakua tayari kumkabidhi mikoba Lowasa? Je Jeshi la Polisi ambao kwa sasa wako kila mahali wakikamata vijana wasio hatia, watakua tayari kuwapa ushirikiano UKAWA!? Na kukiri kwao kutumika kwa ahadi za vyeo na nyongeza za mishahara?
Asanteni, safarini Njombe ndani ya Luwinzo.
Hasa tukitilia maanani magari 399 mapya ambayo JK ameyakabidhi kwa Polisi wiki hii, pamoja na kauli ya IGP kuwa ni marufuku watanzania nchi nzima kumshangilia hata diwani au mbunge wake aliyeshinda, hata kama atakuwa ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo husika hadi litakapokamilika tendo la kumuapisha Rais mpya wa awamu ya 5!!!!!!!Nionavyo mimi ni kwamba CCM haijawa tayari kupokea matokeo.
Wameandaa polisi wa kuwasumbua wananchi.
Swali hapo linatakiwa liwe UKAWA wako tayari kukubali matokeo?