Pinda alisema wao wameshachoka sasa, kwahiyo badala ya kupumzika wameamua kupiga. Hivi mtu ukichoka si unaamua kulala, kwanini uanze kupiga watu eti kwa sababu umechoka.
Siyo hayo tu pia Hakina uongozi thabiti wa Chama kwani vyeo vyote anavimiliki Mtikila, hiki chama hakina tofauti sana na UDP ingawa hiki kina mbunge ambaye ni Memose Cheyo ambae pia anamiliki vyeo vyote vya chama.