W wa home JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 233 Reaction score 41 Jul 8, 2012 #1 leo ktk taharifa ya habari saa 2, wametangaza mgogoro mkubwa uliofanywa na wagombea wa kata, uko moro kutokana majina ya wagombea kutoonekana na kuwekwa majina ya watu wengine wasiousika.
leo ktk taharifa ya habari saa 2, wametangaza mgogoro mkubwa uliofanywa na wagombea wa kata, uko moro kutokana majina ya wagombea kutoonekana na kuwekwa majina ya watu wengine wasiousika.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,007 Jul 8, 2012 #2 Waache watafunane!!!
james chapacha JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 939 Reaction score 200 Jul 8, 2012 #3 Genecius Kaiza said: Waache watafunane!!! Click to expand... Shamba nila bwana Kheri Mbuzi niwa bwana Kheri yanini nipoteze mda wangu? mie napita tu!!
Genecius Kaiza said: Waache watafunane!!! Click to expand... Shamba nila bwana Kheri Mbuzi niwa bwana Kheri yanini nipoteze mda wangu? mie napita tu!!
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,382 Jul 8, 2012 #4 waacheni watwangane
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,763 Jul 8, 2012 #5 karibia wataanza kulana nyama wao kwa wao........
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Jul 8, 2012 #6 Mpaka 2015,tutaona na kusikia mengi!!!!
MNYISANZU JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 7,046 Reaction score 1,106 Jul 8, 2012 #7 Ungesubiri wachinjane halafu uchukue damu yao uwape nguruwe !
UKI JF-Expert Member Joined Jun 12, 2012 Posts 691 Reaction score 173 Jul 9, 2012 #8 ukila nyama ya mtu hutaacha.