CCM Vs CHADEMA

ili cdm iweze kuyafikia malengo yake ya kisiasa imapaswa kutafakari yafuatayo.
1.propaganda ya ukabila na ukaskazini inayoenea kwa kasi kubwa.
2.kashfa zinazo wakabili mbowe na slaa kwa ufujaji wa pesa za chama.
3.propaganda ya udini ambayo imekua ikikihusisha chama na kanisa katoliki.
USHAURI
Kwanza ni kuunda upya safu ya uongozi .ktk hili mwkt wa chama taifa anapaswa kua safari au saidi arfi.katibu mkuu awe kati ya mkumbo au mnyika. mbowe.slaa na zitto waendelee kua viongozi ktk kurugenzi za chama.hii itakua imezifuta propaganda zinazoenezwa kwa kasi nchini.pia itaondoa mgongano wa maslahi kati y zitto na slaa na hivyo wote kuunganisha nguvu kukijenga chama.na ccm itaku haima chake2015.
TANBIHI.wapo wanaojifanya radicals cdm na kutukana kila mawazo yenye nia njema kwa chama.tuwaangalie vizuri.huenda ni mashabiki wanaojazana mikutanoni halafu mwisho wa siku hawapigi kura halafu wanakaa vijiweni eti wamesubiri ushindi washangilie.
....... NAWASILISHA.....
 
MWOBHO

Join Date: 1st January 2013

Nina hofu nawe sana!

Hautumiki kweli????

Ngoja wadau waje!
 
Last edited by a moderator:
Hapa mnaongea kinyume au? manake maneno ya ccm imechokwa siyo ya leo ni tangu 1995, nadhani sasa CDM mnaona kama kwishne mnaanza kutapatapa, CDM mna jipya gani mpaka sasa?

Hivi mshikaji umeshaicheki ile movie ya Lincoln? I think you sound like one of those blood suckerz!!

Hauwaonei huruma hata watoto wako!!
 
mtajisafisha sana lakini haitabadilisha ukweli kuwa nyie ni waovu.

 
Teh teh teh, CDM msitafute mchawi mnajihujumu wenyewe, mbona mnamkana kijana wenu Ludovick hadharani? Una taarifa kuwa LWAKATARE kakiri kuhusika na njma za kutaka kUmdhuru MSACKY? CCM inahusika vipi hapo? mtajikuna sana lakini mwishowe mtaumbuka.
Kumbe kakiri!Kakiri wapi mkuu maana sijaona sehemu yoyote ile akikiri kuhusika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…