JOYOPAPASI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 250
- 409
Bila katiba mpya na tume huru mtashinda milele[emoji28]
Kwa hari iliyoko mtaaan watashinda wakiwa wamechoka sana maana sijui watakuja na uongo upi maana hata hao mazuzu yao wanapigika na maisha huku kitaaa.Bila katiba mpya na tume huru mtashinda milele[emoji28]
CCM hawawezi rudia kosa la kumuweka mtu kavu kama Magufuli😅Na huu ndio ukweriiiiii au anasema uwongo ndugu zangu
Hakika kuzaa siyo kupata maana wazazi wako hapa wamelamba gharasa.CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA MIEZI SITA HADI SABA YA HARAKATI ZA UCHAGUZI NDANI YA CHAMA, CHADEMA WAO BUSY NA MIPASHO SPACE, UPATU WA KUOMBA OMBA MASKINI PESA JOIN THE CHAIN NA MITANDAONI WAKIAMINI NDO WAPIGA KURA Naa Joseph #Yona
Kuanzia Marchi chama cha mapinduzi kimeanza harakati za uchaguzi ndani ya chama, harakati hizo zinategemea kutiwa tamati mwezi wa nane, Yaani inachukua zaidi ya miezi 6 mpaka 7 chama hiki cha ukombozi na kikongwe barani Afrika na duniani kuunda safu zake kupitia vikao, uchukuaji na urejeshaji fomu nchi nzima mpaka uchaguzi kuanzia mabalozi/mashinani, Matawini, Kata, Jimbo, wilaya, Mikoa, mpaka taifa.
Kipindi hiki ni vijana, kinamama, Wazazi wa CCM wako busy kujipanga kuchagua na kuchaguliwa kuhakikisha kinapata viongozi makini kuanzia chini mpaka juu, Ni katika kipindi hiki cha miezi sita mpaka saba wanaccm wako busy na kutengeneza shamba, kumwagilia shamba lao CCM, mpaka mavuno ya viongozi wao makini, baada ya uchaguzi 2022 CCM hujipa miaka miwili ya kutibu majereha ya uchaguzi, kuteuana na kuwekana sawa kwenye vikao vya chama na kuisimamia serikali yake.
Baada ya hapo mwanzoni mwa mwaka 2024 hujipanga kuingia uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huo huo mwishoni wakiwa wamoja, kwa ubusy huu unaweza kukutana na mwanaCCM kwenye maspace, mipasho mitandaoni au kuangaliana views, Subscribers, Follower nk Hapana.
Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa CCM hujiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa nchi nzima wa Madiwani, Madiwani vitimaalum wa kitarafa, Wabunge, Wabunge Vitimaalum kupitia makundi mbalimbali, na mwisho humpata Rais wa nchi ambaye kwa kipindi hiki cha pili huwa ni Mwenyekiti wa chama Taifa, jamani ubusy huu wanaweza kwenda Space, Tweeter, Instagram nk kupiga porojo wakati CCM wana Tv, Radio, magazeti na mitandao yao.View attachment 2182255
Tabia ya mwizi haiwezi kuisha kwa kumuomba awache kuibaBila katiba mpya na tume huru mtashinda milele[emoji28]
Usisahau na hizi piaCHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA MIEZI SITA HADI SABA YA HARAKATI ZA UCHAGUZI NDANI YA CHAMA, CHADEMA WAO BUSY NA MIPASHO SPACE, UPATU WA KUOMBA OMBA MASKINI PESA JOIN THE CHAIN NA MITANDAONI WAKIAMINI NDO WAPIGA KURA Naa Joseph #Yona
Kuanzia Marchi chama cha mapinduzi kimeanza harakati za uchaguzi ndani ya chama, harakati hizo zinategemea kutiwa tamati mwezi wa nane, Yaani inachukua zaidi ya miezi 6 mpaka 7 chama hiki cha ukombozi na kikongwe barani Afrika na duniani kuunda safu zake kupitia vikao, uchukuaji na urejeshaji fomu nchi nzima mpaka uchaguzi kuanzia mabalozi/mashinani, Matawini, Kata, Jimbo, wilaya, Mikoa, mpaka taifa.
Kipindi hiki ni vijana, kinamama, Wazazi wa CCM wako busy kujipanga kuchagua na kuchaguliwa kuhakikisha kinapata viongozi makini kuanzia chini mpaka juu, Ni katika kipindi hiki cha miezi sita mpaka saba wanaccm wako busy na kutengeneza shamba, kumwagilia shamba lao CCM, mpaka mavuno ya viongozi wao makini, baada ya uchaguzi 2022 CCM hujipa miaka miwili ya kutibu majereha ya uchaguzi, kuteuana na kuwekana sawa kwenye vikao vya chama na kuisimamia serikali yake.
Baada ya hapo mwanzoni mwa mwaka 2024 hujipanga kuingia uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huo huo mwishoni wakiwa wamoja, kwa ubusy huu unaweza kukutana na mwanaCCM kwenye maspace, mipasho mitandaoni au kuangaliana views, Subscribers, Follower nk Hapana.
Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa CCM hujiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa nchi nzima wa Madiwani, Madiwani vitimaalum wa kitarafa, Wabunge, Wabunge Vitimaalum kupitia makundi mbalimbali, na mwisho humpata Rais wa nchi ambaye kwa kipindi hiki cha pili huwa ni Mwenyekiti wa chama Taifa, jamani ubusy huu wanaweza kwenda Space, Tweeter, Instagram nk kupiga porojo wakati CCM wana Tv, Radio, magazeti na mitandao yao.View attachment 2182255
🚮CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA MIEZI SITA HADI SABA YA HARAKATI ZA UCHAGUZI NDANI YA CHAMA, CHADEMA WAO BUSY NA MIPASHO SPACE, UPATU WA KUOMBA OMBA MASKINI PESA JOIN THE CHAIN NA MITANDAONI WAKIAMINI NDO WAPIGA KURA Naa Joseph #Yona
Kuanzia Marchi chama cha mapinduzi kimeanza harakati za uchaguzi ndani ya chama, harakati hizo zinategemea kutiwa tamati mwezi wa nane, Yaani inachukua zaidi ya miezi 6 mpaka 7 chama hiki cha ukombozi na kikongwe barani Afrika na duniani kuunda safu zake kupitia vikao, uchukuaji na urejeshaji fomu nchi nzima mpaka uchaguzi kuanzia mabalozi/mashinani, Matawini, Kata, Jimbo, wilaya, Mikoa, mpaka taifa.
Kipindi hiki ni vijana, kinamama, Wazazi wa CCM wako busy kujipanga kuchagua na kuchaguliwa kuhakikisha kinapata viongozi makini kuanzia chini mpaka juu, Ni katika kipindi hiki cha miezi sita mpaka saba wanaccm wako busy na kutengeneza shamba, kumwagilia shamba lao CCM, mpaka mavuno ya viongozi wao makini, baada ya uchaguzi 2022 CCM hujipa miaka miwili ya kutibu majereha ya uchaguzi, kuteuana na kuwekana sawa kwenye vikao vya chama na kuisimamia serikali yake.
Baada ya hapo mwanzoni mwa mwaka 2024 hujipanga kuingia uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huo huo mwishoni wakiwa wamoja, kwa ubusy huu unaweza kukutana na mwanaCCM kwenye maspace, mipasho mitandaoni au kuangaliana views, Subscribers, Follower nk Hapana.
Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa CCM hujiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa nchi nzima wa Madiwani, Madiwani vitimaalum wa kitarafa, Wabunge, Wabunge Vitimaalum kupitia makundi mbalimbali, na mwisho humpata Rais wa nchi ambaye kwa kipindi hiki cha pili huwa ni Mwenyekiti wa chama Taifa, jamani ubusy huu wanaweza kwenda Space, Tweeter, Instagram nk kupiga porojo wakati CCM wana Tv, Radio, magazeti na mitandao yao.
View attachment 2182255