CCM: Ushindi ni asilimia 69

Kama ni hivyo wanahangaika na kampeni za nini? mi wananikera Hawa watu!!
 
Hiyo ni mpaka sasa, asilimia hizo zitaongezeka kadri kampeni zinavyoendelea. Lengo ni kupata above 70.
 
Kumbe hata ccm wenyewe hawamkubali magufuli Yaani wamempa asilimia 69 tu?
 
Kutokana na #KuraYanguApp maoni ya Uraisi mpaka sasa : Mh. Anna Mgwira Kura 132 (02.45%) , Mh. Edward Lowassa Kura 4557 (84.56%) , Mh. John Magufuli Kura 700 (12.99%) ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…