chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
piga kaz kamanda. Ile ofisi ya chadema udom tuliifungua sisi kule kijijini
ndiyo naona viongozi wanaingia. Namuona m/kiti na katibu wake bw. Elius ndabila wanawasili na nyimbo za ccm zikitumbwiza.
mkuu wamehaidiwa vyeo kama ukuu wa wilaya,na pia pesa na wali. Hicho ndo chama kilichopanga ikulu kwa miaka 51,sera zimeisha!Ninyi wana ccm udom mnachumia tumbo
Moyon i fil pain kuona vijana wa chuo chngu wakipotea hv hv kwa kuyashabikia ccm na unyonyaji wao wkt kuna watunguliz wazur ambao walipigania harakat kwa kuonesha njia hd kuhatarisha masomo yao km kaka yng Mafuru,adiel, rafiki na sempemba!
Chuo cha magamba
Huwa nawaambia rafiki zangu kuna vyuo vikuu za kata, na UDOM ni mfano wake
hakujachakumekucha? mbona bado giza tu
what does it mean??You have brain shrinkage, stretch it to the point of no return.INVESTMENT YA FEDHA ZA WANYONGE ILI VIJANA WAO WAWEZE KUKABILI CHANGAMOTO ZA DUNIA WEWE BADO UMESIMAMIA COMMUNALISM! Transitional period from Socialism to Capitalism, msilalamikie WAAJIRI,JIAJIRINI FURUSA NYINGI NCHINI SIYO POROJO ZA VYUO VYA KATA WALA TARAFA WALA MAGAMBA AU MAGWANDA.
dah hope ningekuwepoNdiyo naona viongozi wanaingia. Namuona m/KITI NA KATIBU WAKE BW. Elius Ndabila wanawasili na Nyimbo za CCM ZIKITUMBWIZA.
dah hope ningekuwepo