Hiki chuo si ndo mwaka jana Kikura kapiga marufuku mambo ya siasa hapo chuoni?Mimi nimehitimu hapo mwaka huu july lakini chuo kimekaa kiccm sana,upinzani unakandamizwa na hilo ccm wanashangilia lakini wahitimu wa udom ndo tunapata shida mitaani.Waajiri wanatupga interview hadi nne kisa eti hicho chuo wana mashaka nacho
Dogo nimekufahamu njoo dar nitafute.Ndiyo naona viongozi wanaingia. Namuona m/KITI NA KATIBU WAKE BW. Elius Ndabila wanawasili na Nyimbo za CCM ZIKITUMBWIZA.
Hiki chuo si ndo mwaka jana Kikura kapiga marufuku mambo ya siasa hapo chuoni?Mimi nimehitimu hapo mwaka huu july lakini chuo kimekaa kiccm sana,upinzani unakandamizwa na hilo ccm wanashangilia lakini wahitimu wa udom ndo tunapata shida mitaani.Waajiri wanatupga interview hadi nne kisa eti hicho chuo wana mashaka nacho
bora sisi tulomaliza mwaka jana hayo majanga hayakuwepo kama yalivyo sasa ingawaje hyo haijawa suluhu yakunyimwa kujiunga na vyama pendwa haswa cdm,
huwa nawaambia rafiki zangu kuna vyuo vikuu za kata, na udom ni mfano wake
udom tunajua ni chuo cha magamba!someni nyie watoto!msije mka'sup'!chuoni si pakupigia porojo za ccm.
ninyi wana ccm udom mnachumia tumbo
niko hapa hapi cafe nimekula gwanda langu nimetoka kwenye kikao cha kamati tendaji kwenye ofisi yetu ng'ong'ona kupanga mikakati ya kimapinduzi na haswa kufanikisha mipango yetu ya kujenga ofisi yetu ya chama kwa michango ya watz maskini wa udom ambao kweli wanaijua sasa salaam zangu kwa hao maprof. Wanaofanya siasa badala ya tafiti na mazingira bora udom ,salamu kwako wewe kigarura uliyepost uongo hapa.......cku zenu zahesabika waganga njaa
mbona waliwahi kuwakamata cdm nje ya chuo mpaka leo kesi ipo mahakamani. Ukweli ni kwamba ccm udom