Afadhali waroho wa madaraka kuliko wezi na wauwaji...Sijaona kiongozi hata mmoja ambaye anaweza kuleta tija kwa watanzania akitokea ukawa karibia wote ni kundi la waroho wa madaraka tu.
Mbona hata yule mchawi wenu Wasira alitabiri kuwa CDM ingekufa mwaka 2013 lakini mpaka leo haijafa?Ukawa wepesi sana wakati ukifika hutaamini yatakayo wakuta kwenye anga ya siasa.
Mbona hata yule mchawi wenu Wasira alitabiri kuwa CDM ingekufa mwaka 2013 lakini mpaka leo haijafa?
Ukawa wepesi sana wakati ukifika hutaamini yatakayo wakuta kwenye anga ya siasa.
Kufuatia kitendo cha vyama vya upinzani chini ya mwamvuli wa UKAWA kuungana na kushirikiana pamoja na kutuhumiana huko nyuma kwa mf Mh Mbatia kutuhumiwa kutumika baada ya kuteuliwa na Rais kuwa mbunge wa viti maalum, Leo hii wanakula meza moja basi ni wakati wa Membe, Sitta, Mwakyembe, Magufuli, Makamba, Ngeleja, na Lowasa kuweka kando tofauti zao na kushirikiana kuwakabili vilivyo UKAWA.
My take: Nina fahamu kuna mijitu itatoka povuu sana badala ya kujadili ukweli huu mchungu. Have some pills if in case you feel anxious, it might help you calm down.
eti wepesi sana ngoja uone mziki wake #nyie mnaolamba 10% ni kiduchu mno,kulinganisha na wasugua bongo/au wasio na tumaini la kesho itakuwajeUkawa wepesi sana wakati ukifika hutaamini yatakayo wakuta kwenye anga ya siasa.
Kati ya hao uliowataja hakuna wa kuwa Rais labda Membe kwa sababu ya uzoefu wake kama Foreign Minister na pia ameonyesha kuwa siyo mdini.Kufuatia kitendo cha vyama vya upinzani chini ya mwamvuli wa UKAWA kuungana na kushirikiana pamoja na kutuhumiana huko nyuma kwa mf Mh Mbatia kutuhumiwa kutumika baada ya kuteuliwa na Rais kuwa mbunge wa viti maalum, Leo hii wanakula meza moja basi ni wakati wa Membe, Sitta, Mwakyembe, Magufuli, Makamba, Ngeleja, na Lowasa kuweka kando tofauti zao na kushirikiana kuwakabili vilivyo UKAWA.
My take: Nina fahamu kuna mijitu itatoka povuu sana badala ya kujadili ukweli huu mchungu. Have some pills if in case you feel anxious, it might help you calm down.
Umemsahau na Tlp, Cheyo na Hamad Rashid , Dovutwa ambao ni matawi ya Ccm.