Wabunge wengi wa ccm hasa wa mikoa ya tabora,singida na dodoma hutumia vijisenti vyao kuwarubuni wapiga kura wao kama kuku wa kienyeji! Na wanadhani huo ndo ubunge bora! Mtaji wa ccm ni rushwa, usalama wa taifa, mapolis,tbccm na umasikini wa watanzania!