Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,365
Zito ni potential zaidi kwa sisiemu kuliko baba levo tunza hii postiBabaLevo atashinda mapema sana na kitakachompa ushindi ni ujinga wa wananchi.
Mwaka huu umewakalia vibaya lazima waachie majimbo zaidi ya 10 ili kuaminisha watu kwamba demokrasia ilikuwepoSisiemu huwajui vizuri wewe, wale huwa hawana hiruma wanakomba nafasi zote
Rejea uchsguzi wa serikali za mitaa
Nipo paleeeMwaka huu umewakalia vibaya lazima waachie majimbo zaidi ya 10 ili kuaminisha watu kwamba demokrasia ilikuwepo
Ujanja gani hapa wakati ni ujinga? Unajua maana ya ujanja?Kutokana na hali ilivyo CCM hawawezi kukubali nchi nzima washinde wao tu..
Kumbuka kuna makubaliano na ACT na Chaumma kuachiwa baadhi ya majimbo ili kuaminisha taasisi na jumuiya za kimataifa kwamba kuna uhuru na demokrasia..
Sasa watafanyaje?
Mtu kama Zito anaweza kuwa potential hivyo ili kumpata ni kumuwekea watu "hovyo" au watu ambao hawana lolote..
Kwahiyo basi kuna baadhi ya majimbo mfano ni hili la baba levo
"LAZIMA" yatolewe sadaka ili
"Wapinzani" wapate baadhi ya majimbo!
Kwa hiyo kwa kuweka sawa rekodi haina maana walioteuliwa WOTE watakua wabunge!
Wengine LAZIMA watolewe sadaka ili
Baadae tuambiwe Chadema walisusa "bure tu" mbona wenzao wamepata!!
Sisiemu wajaaaaaaanja kweli kweli...
Kwa sauti ya bwege
Hakuna uchaguzi mwezi October. Novena inaondoka na mgombea urais wa kike
AminaHakuna uchaguzi mwezi October. Novena inaondoka na mgombea urais wa kike