safari hii tutawabana hawatopata chansi ya wizi kudadeki ! red brigade kila mahali .
msalani ana akili sana maeneo kama haya huwezi kumuona
kama ulisoma basi labda jina lako ndio tatizo .
umesoma shule hii ? mwl aliyefichua aibu hii amehamishiwa mbali zaidi ili kukomolewa !Kweli mkuu tena kulakulala hasa!
nimecheka sana !Kuna post nilimwambia haya majina ni tatizo nikaambulia matusi, hana tofauti na mtu anayekata tawi la mti alilolikalia,
Mkuu kosa sio la CCM, ni la Watz mil 50 ambao akili zao zimevia na wanatapika na kula matapishi yao. We karne hii ya 21 mtu anakudanganya tena wazi kabisa bila woga na wewe unaingia mkenge, nani ana shida hapo?
naapa kwa Mungu , kama nitathubutu kuipigia kura ccm ama kwa kurogwa au kwa hiyari yangu basi aichukue roho yangu hapohapo kwenye kituo cha kupigia kura au popote atakapoona panafaa na anipeleke motoni moja kwa moja na habari hii isambae dunia nzima ili niwe fundisho kwa wengine .Nasikia watu wanalala kwa waganga kupumbaza wananchi, hili pia pengine linachangia mkubwa. Mtu unaweza toka nyumbani na maamuzi yako, ukifika kituoni, mambo yanabadilika. hahahah Ni hatariii
kenya mpaka sasa hivi madeni wanayodaiwa ni 49.8% na ukomo ni 50%siasa za ccm hizoo...
nje chungulia kenya road kuna fly over kitambo.
nyie mkifa.nya ni kwa ajiliya kampeni za kuomba kula mfano timing zakumaliza daraja la kigamboni na mabasi ya KASI DORO JIJINI DAR.
kwa uwiano huo kenya wamewekeza. umeona mpaka treni ya mwendo kasi ipo. deni liendane na uwekezaji. Je fly over moja tu ikijengwa kwa mkopo kama inavyotazamiwa deni litapaa vipi! wenzetu wanazo kibao. tena nasikia hizo fly over ndio zinategemewa kwenye ilani ya Chukua Chako Mapema kwa uchaguzi huu ikijikingia kifua kwa daraja la kigamboni. Maendeleo kasi yake ndogo kwa utajiri tulionao kama nchi.kenya mpaka sasa hivi madeni wanayodaiwa ni 49.8% na ukomo ni 50%
wakati Tanzania inadaiwa 24% na ukomo ni 50%
sijui kama utanielewa. ukinielewa hutorudi tena kukoment hapa na ukirudi basi wewe ni full viroba and zero brain. nasubiria.
Wakati mwingine pombe hazileweshi mwili wote,yupo bora kati ya aliyekopa 24% na kuwekeza zero % na hana uhakika wa kulipa deni au aliyokopa 50% na kuwekeza 90% ya mkopo na akawa na uhakika wa kukopa.Mnasikiliza point za kina mwigulu chemba with no logic of saying then mnaziandika hapa.kenya mpaka sasa hivi madeni wanayodaiwa ni 49.8% na ukomo ni 50%
wakati Tanzania inadaiwa 24% na ukomo ni 50%
sijui kama utanielewa. ukinielewa hutorudi tena kukoment hapa na ukirudi basi wewe ni full viroba and zero brain. nasubiria.
Wakati mwingine pombe hazileweshi mwili wote,yupo bora kati ya aliyekopa 24% na kuwekeza zero % na hana uhakika wa kulipa deni au aliyokopa 50% na kuwekeza 90% ya mkopo na akawa na uhakika wa kukopa.Mnasikiliza point za kina mwigulu chemba with no logic of saying then mnaziandika hapa.Ndo maana leo mzee amesikika anasema ongezeko la shule za msingi ni kubwa ukilinganisha na utawala wa mkapa,wakati huo huo amesahau kipindi cha uongozi wake ndo kimekua kipindi cha migomo ya walimu kila kukicha na kudorola kwa ufaulu wa watoto kuliko vipindi vyote.
Hakumbuki mpaka wizara imeongeza divison five kutoa aibu ya matokea mabaya ya watoto.Siamini kama haoni ufaulu mbovu wa shule za serikali ukilinganisha na pravate schools...