CCM sasa ina 'Lissuphobia'

ccm kwa lissu ni sawa na tembo na sisimizi,lissu anawakimbiza mno
 
T.l ni jembe kwelikweli lukuvi anamtambua akitaka kupambana nae lazima amwandae mwanasheria na bi kidude .
 
lisu ni sawa na serikali ya maccm na makada wake
 
Tatizo ni ufinyu wa hoja na mashtaka ya uongo. Lissu kw akweli ni mwanasheria anayezijua sheria za nchi ipasavyo, ndio maana hata bungeni siku hizi wale wakalia kiti wakiona tu lissu anaomba muongozo hukaa vizuri na ikibidi humzuia hata asiseme neno au huo mwongozo. Chezea lissu wewe. Dah kweli hii ni lissuphobia........................Peoples.............................Power.....................
Jamaa zetu walikuwa wanapenda sana kukimbilia mahakamani na kutengeneza vijikesi vya kipuuzi tu siku hizi thubutu, wengine Dr. Slaa aliwataja kwenye list of shame wakasema wataenda mahakamani wako wapi mpaka leo Kimyaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Tuna watoa kucha na macho!! Soon tutamu-ulimboka Lissu!! subiri uone!!
 

watamshushia hadhi lissu wetu, acha magamba waendelee kuwatumia mawakili uchwara kwa maana kesi zao ni za kijinga na hawajifunzi kila kunapokicha wao wanatanguliza ujinga tu.
 
lissu pekee ni, serikali nzima ya jk na jk akiwemo ndani+ wabunge wa sisiemu.
Hakuna anayeweza kusimama na lissu mbele ya mahakama toka sisiemu.
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa, Ila tatizo la Mkuu wa Kaya anawasikiliza sana maccm wakati anajua Lisu ni kifaa kuliko mwanasheria mkuu wa Sereka;li ila amemweka benchi kisa usisiemu.
 
Mtu mmoja alisema ili kukabiliana na Tundu Lissu ni lazima CCM itumie mabingwa wa matusi watu kama Lusinde,Komba,Mwigulu,Nkamia,Kigwangwala na wengine ambao hawajaiva vizuri(katika matusi) ili watukane weee mpaka hoja ya Lissu ipoteze maana.
Hao niliowataja ni HAZINA kubwa sana ndani ya CCM.
 
Kawaida ukishakubaliwa kuwa katika safu ya uongozi CHADEMA, wewe ni mkali wa kujenga hoja na kuchambua mambo.

C.v ya mtu ni tosha kabisa kwa maadui kugubikwa na woga. Ni chama chenye watu wanaothubutu bila shuruti wala woga.
 
Upinzani si uadui, bali ni kuwapa fursa wananchi wamchague kiongozi aliye bora, vilevile upinzani unaisaidia serikali iliyoko madarakani kutobweteka na kufanya yaliyo mema kama ilivyo ahidi.Na kiongozi mzuri ni yule anaye heshimu maamuzi ya wananchi na maamuzi ya wananchi yana anzia kwenye kupiga kura.
 
Ina maana upo ndani lakini Haujui kwamba ccm ina wenyewe?


Dawa yake ni utawala wa haki na sheria;



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mchambuzi swali sio CCM ni ya nani, Ila CCM ina nani wakupambana na LISSU MAHAKAMANI, BUNGENI, MDAHALO nk.

Tehtehh! au Unajitolea Kupambana naye wewe, wakuandalie Mdahalo?

CC: #TeamBk7 ,#Makamanda
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…